Amnesty yakosoa ukiukaji wa haki za binadamu Saudia

IQNA

Shirika la Msamaha Duniani (Amnesty International) limeikosoa Saudi Arabia kwa kutokomesha hali ya kutisha ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo.
Habari ID: 1762    Tarehe ya kuchapishwa : 2013/10/27